166.Wamwendea Yesu

1. Wamwendea Yesu 
kwa kusafishwa, 
na kuoshwa 
kwa damu ya Kondoo?
Je neema yake 
umemwagiwa?
Umeoshwa 
kwa damu ya Kondoo?
Kuoshwa, kwa damu 
itutakasayo ya Kondoo;
Ziwe safi nguo nyeupe 
mno:
Umeoshwa
 kwa damu ya Kondoo?


2. Wamwandama daima
Mkombozi na kuoshwa 
kwa damu ya Kondoo?
Je, waishi kwake 
msulibiwa?
Umeoshwa 
kwa damu ya Kondoo?
Kuoshwa..


3. Atapokuja Bwana arusi 
uwe safi kwa damu ya 
kondoo.
Yafae kwenda Mbinguni 
mavazi 
yafuliwe
 kwa damu ya kondoo.
Kuoshwa….


4. Yatupwe yaliyo na
 takataka, 
na uoshwe kwa damu ya 
Kondoo
Huoni kijito chatiririka 
na uoshwe kwa damu ya 
Kondoo?
Kuoshwa….



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu