143.Mungu ni wa Utukufu

1. Utukufu ni wa Mungu juu, 
tukuzo lote, uwezo wote 
ni wa Mungu,
Bwana wetu, Bwana Wetu,
Mungu ni wa pekee
Shangilio lake
Lijaze katika dunia popote,
Jina lake litukuzwe 
na watu wote. 
Tumshangilie Mungu 
wetu 
na Bwana wetu nyimbo za tukuzo
tumpeni heshima zote, 
tumwimbie,
Sifa na tukuzo zampasa 
zote ni zake Mungu wetu!



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee