157.MJini ni Mbinguni
1. Mjini ni mbinguni kwa
Mungu,
hakuna mabaya na shida,
waongofu wengi wamejaa
wanaomsifu Mwana
Kondoo
Mbinguni,mbinguni
mjini mbinguni
kwa Mungu
ndio mji wa
kutupendeza.
2. Wateule wengi wa huko
wanaongazwa na Yesu,
huko kuna furaha yetu.
Jua lake ni la uzima.
Mbinguni,…
3. Moyo wangu una furaha
ya kwenda mbinguni kwa
Mungu.
Bwana univute uliko,
kiaga chako kitimie!
Mbinguni,….
4. Kitambo kidogo kipite
na mimi nifike mbinguni
Bwana wangu Yesu
nakuomba:
Ukoo wangu wote ufike
mbinguni,…
Comments
Post a Comment