145.Bwana Wema Wako Popote
1. Bwana wema wako popote
hata mbinguni huko juu.
Bwana wema wako popote
hata mbinguni huko juu.
/: Na welekevu, na
welekevu/:
wako huenea na
mawinguni
na welekevu wako
huenea na mawinguni.
:/ /:Haleluya x4
Haleluya x 2/:
Comments
Post a Comment