97.Mwana Kondoo wa Mungu Uichukuaye Dhambi
1. Mwanakondoo wa Mungu
Uichukuaye dhambi yote,
Mwana Kondoo wa
Mungu,
Uturehemu wakosaji,
Mwana Kondoo wa
Mungu.
2. Mwana Kondoo wa Mungu
Uichukuaye dhambi yote,
Mwana Kondoo wa
Mungu,
Utuhurenemu wakosaji,
Mwana kondoo wa
Mungu.
3. Mwana Kondoo wa,
Mungu
Uichukuaye dhambi yote,
Mwana Kondoo wa
Mungu,
Utupe amani yako,
Mwana Kondoo wa
Mungu.Amen
Comments
Post a Comment