94.Unipe Nguvu Bwana

1. Unipe nguvu,
 Bwana nikumbuke
 mateso yako yaliyokupata,
 kutukomboa tulioanguka
 katika dhambi.


2. Umemtii Baba,
 mpaka kufa kwako
 mahali petu ulisulubishwa,
 makosa yetu yalikua
 mengi, umetufia


3. Wokovu wangu
 ulinitafuta; nakuangukia
 Mwokozi wangu,
 nakushukuru nikiitazama
 huruma yako.



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu