93.Njoo Msalabani

1. Njoo msalabani
 ukilemewa,
 wewe msafiri!
 Kwenye msalaba
 utapumzika,
 ndiyo raha.


2. Wamwona Mwana
 Kondoo wa Mungu,
 akichukua 
 mshahara mkuu
 wa makosa yako
 akufia


3. Yesu asiye mkosaji hata,
 ahukumiwa.
 Waona jinsi akupendavyo
 awe mdhambi?



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu