89.Kumbuka Getsemane

1. Kumbuka Getsemane, 
  asongapo shetani,
Mwokozi ukamwone 
ateswavyo shambani; 
nao uchungu wewe, 
aombapo kumbuka!


2. Kumbuka barazani 
   ashtakiwapo Yesu: 
   mtazame Bwana Huko,
   walipomuhukumia 
   upate soni wewe,
   mti wa Yesu kumbuka!


3. Kmbuka na Golgota 
  alipokufa Bwana.
  Upaji wa tambiko 
  ameutoa Yeye.
  Kasema: Imekwisha
  Mti wa Yesu kumbuka!


4. Kumbuka bustanini 
   walipomzika Yesu, 
   kukiwa bado giza. 
   Mfu amekwenda wapi?
   Amefufuka Yeye;
   Ufufuko kumbuka!



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu