75.Mikononi mwa Mitume
1. Mikononi mw a Mitume
Kazi ilifanywa, si nguvu
Yao
Walipewa msaada, ndiye
Roho.
Wakapata kuona upya tena.
/:Nenda,(kazini tu)
nenda, (siache)
kuyasema.:/
sisi ni badala yao.
Mitume wa zamani
Tupe vipawa vya kazi,
/:tuifanye(tuifanye)
Kazi yako (kazi yako):/
Ututume, ututume,
Ututume.
2. Tuombe kupata Roho
Tuende kazini.
Si nguvu yetu
kwa wafanya kazi hii
njema mno.
Tutakwenda haraka
Kuifanya.
Nenda, nenda…..
3. Vuvia Roho Mtakata
Ndani mioyoni utuhuishe
Tupe moto wa Roho,
Tusimame
Tuwe tayari kwenda
kutumika.
Nenda, nenda…
Comments
Post a Comment