73.Ni Ujumbe wa Bwana
1. Ni ujumbe wa Bwana
Haleluya!
Wa maisha ya daima.
Amenena mwenyewe,
Haleluya!
Utaishi ukitazama.
Tazama! Ishi sasa!
Kumtazama Yesu.
Amesma mwenyewe,
Haleluya!
Utaishi ukitazama.
2. Ni ujumbe wa wema,
Haleluya!
Nawe shika, rafiki yangu.
Ni habari ya raha,
Haleluya!
Mwenye kuisema ni
Mungu.
Tazama…
3. Uzima wa daima,
Haleluya!
Kwake Yesu utauona.
Ukimtazama tu,
Haleluya!
Wokovu pekee wa Bwana.
Tazama….
Comments
Post a Comment