70.Twende Vitani
1. Twende vitani vitakatifu,
Zikitujia , shida na taabu.
Ngurumo zivume kutia
Woga.
Mwiteni Mwokozi!
Yesu mwanga.
2. Ingawa giza lawafunika,
Na raha yenu ikizimika,
Na nguvu za muovu
hazina mpaka
Mwiteni Mwokozi….
3. shetani aje, akijaribu
Kuvunja kazi na kuharibu
Hila zake zote na
zitakwisha.
Mwiteni mwokozi
Comments
Post a Comment