69.Wito Waja
1. Wito waja, kwa nchi zote
Wapi washindi wa Yesu
Watakaomfuata kweli?
Sisi tujitie kwake!
Mkubwa nani?
Tushikane
naye mfalme, tupatane,
tumfuate!
2. Ana ufalme tangu kale,
Nchi hata mbingu ni zake.
Atuelekeza juu kwake,
Hatahukumiwa tena.
Mkubwa nani?....
3. Tutangaze utume mwema
Kwa makabila ya kwetu,
Na tuseme pasipo woga
Tuyaonayo kwa Yesu.
Mkubwa nani?...
4. Haya jamaa tuwe tayari
Sisi watumishi wake,
Yeye ni mfalme wa
majeshi,
Mili na mioyo ni yake.
Mkubwa nani?...
Comments
Post a Comment