68.Nitakutukuza
1. Nitakutukuza,
Nakuimbia
/: wewe uzima wangu,
Kingojeo change!:/
2. Umeniokoa kwa
mkono wako,
/: nalifuta njia
Ya upotevuni.:/
3. Wote wakujue
Upole wako,
/:wakufuate Yesu
Ninayekupenda.:/
4. Utume mitume
Waende kote,
/:kwa nguvu yako Bwana
Wafu wafufuke.:/
5. Huku chini kote,
dunia nzima
/: lifanywe kundi moja,
Wewe Mchunga wao!:/
Comments
Post a Comment