67.Nyesha Mvua

1. Nyesha mvua, nyesha
Mvua,
Wewe Roho wa Baba,
Nchi kavu ikanyweshwe,
Imsifu Mungu wetu!


2. Vuma sana, vuma sana
Roho mwenye uzima,
Tulio na usingizi
Utuamshe kwa mkono!


3. Toa mwanga, toa mwanga,
Roho kwani unang”aa
Wewe ushinde usiku
Tusikae na giza.


4. Sikiliza, sikiliza, 
wewe mfalme wa mbinguni! 
Tuma Roho wako kwetu,
Kote kuwe na upya!




Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu