64.Yesu Mwokozi

1. Yesu Mwokozi
mwenye nguvu zote,
wewe Mwana wa Mungu
nitakupenda, nitakusifu,
Uliyempenzi wangu mkuu .


2. Uzuri wote
Wa nchi na milima
Unatufurahisha.
Yesu ni mzuri kupita hiyo
anatufariji sisi.


3. Jua na mwezi
Hata nyota zote
zinang’aa mbinguni.
Yesu ashinda uzuri huo,
ang’aza watu mioyo.


4. Uzuri wote 
hapa na mbinguni 
ni mfano wa Mwokozi
Tumpende Yeye wa 
utukufu
aliyetupenda kwanza.



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu