61.Sifuni Nyote Huruma



1. Sifuni nyote huruma ya 
Mungu,
Kwa nyimbo nzuri,
Umati wa Yesu!
Atualika furahini:
/: Msifuni Bwana kwa
neema yake!:/


2. Yesu ni Mfalme
anayetawala;
Viumbe vyote
Vinamtumikia,
Hata malaika
Wanamwabudu,
/: wanamwimbia kwa 
Sauti nzuri.:/


3. Enyi mataifa, hofu
Iacheni!
 Njooni kwa Yesu,
Mchunga kondoo
Mwema.
Sikilizeni Neno lake:
/:Atukuomba kwa kufa
Kwake:/


4. Awapa watu chakula
Chochote,
atushibisha  kama baba
mzuri,
aleta  jua hata  mvua,
/:atubariki   kwa wema
wake.:/ 


5. Sifuni nyote huruma ya
Mungu,
Kwa nyimbo nzuri,
Umati wa wa Yesu!
Sasa  huzuni twaishinda:
/:Msifuni Bwana kwa
neema yake!:/



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu