53.Tumshukuru Tumsifu
1. K:Tumshukuru, tumsifu
Mungu kwani ni
mwema.
W:Huruma yake ipo,
mchana na usiku.
2. K: Tangaza Jina lake,
Mungu wetu wa
kweli.
W:Huruma yake…..
3. K: Kajaza maajabu,
Mbinguni duniani.
W: Huruma yake..
4. K: Kwa uwezo wake
Mkuu,
ameviumba vyote.
W: Huruma yake..
5. K: Aliongoza watu,
ugenini zamani
W: Huruma yake..
6. K: Maskani ametupa,
hapa ulimwenguni.
W: Huruma yake..
7. K: Anawalisha watu,
hata wanyama pia.
W: Huruma yake…
8. K: Na tumwimbie mungu,
kwani Yeye ni
mwema.
W: Huruma yake.
Comments
Post a Comment