141.Tumpeni Sifa na Tukuzo
1. Tumpeni sifa na tukuzo,
sifa na tukuzo ni zake,
Ukuu na nguvu
zote zimpasaye Mungu,
ni vya Bwana, ni vya
Bwana
Na vimtii siku zote.
2. Tumpeni sifa na tukuzo,
sifa na tukuzo ni zake.
Sifa, maombi na
nguvu zote ni za Bwana
siku zote,
kale yote
hata itakayokuja.
Amen. Amen
Comments
Post a Comment