138.Tumepokea Neema
1. K: Tumepokea neema,
tuimbe sote kwa
shangwe.
W:Tumepokea neema,
tuimbe sote
kwa shangwe
K:Mungu Baba
Kampeleka
Roho Mfariji wake
W:Mungu Baba
kampeleka
Roho mfariji wake.
K: Ee ndugu,
W: furaha kubwa
K: isiyo
W:na mwisho kweli
K:Tunao
W: sasa uweza
K: kwa nguvu
W: zake mwokozi.
2. K: Njoo, Roho mtakatifu,
utujaze nguvu zako;
W:Njoo, Roho Mtakatifu,
utujaze nguvu zako;
K: Tuende kwa watu
wetu,
tutangaze neema yako.
W: Tuende kwa watu
wetu,
tutangaze neema yako.
K: Ee ndugu,….
3. K: Ee Roho Mtakatifu,
uliye Mwanga wa kweli,
W: Ee Roho Mtakatifu,
uliye mwanga wa kweli,
K:Twapenda kukusujudu
kwani u pamoja nasi.
W: Twapenda kukusujudu
kwani u pamoja nasi.
K: Ee ndugu,…
4. K: Ahadi ya Yesu Kristo,
hakika imetimizwa,
W: Ahadi ya Yesu Kristo,
hakika inetimizwa,
K: Twaimarisha mioyo,
tuishuhudie neema
W: Twaimarisha mioyo,
tuishuhudie neema.
K: Ee ndugu…..
5. K: Baba mungu,
naye Mwana,
naye Roho Mtakatifu,
W: Baba Mungu,
naye Mwana,
naye Roho Mtakatifu,
K:Mungu wa Utatu,
Mmoja,
milele tutakusifu.
W:Mungu wa Utatu,
Mmoja,
milele tutakusifu.
K:Ee ndugu….
Comments
Post a Comment