132.Roho Mtakatifu Wa Mungu Wetu

1. Roho Mtakatifu, Mungu 
  wetu, 
  mtuliza mioyo shidani, 
  watumwa toka mbinguni 
  na Mungu Baba na 
  Mwana,
  Roho Mtakatifu mungu
 wetu.


2. Roho Mtakatifu, Mungu 
  wetu, 
 uwashe moto wa upendo, 
tupende Neno la Mungu 
na kupendana na ndugu.
    Roho mtakatifu…


3. Roho Mtakatifu, Mungu 
  wetu, 
  jaza tegemeo letu!
  Pasipo msaada wa Roho 
  hakuna kutegemea.
Roho Mtakatifu…..


4. Roho Mtakatifu, Mungu 
   wetu, 
   twaomba kwako ushujaa 
   wa kupigana na adui 
   mpaka tufike kwako juu.
          Roho Mtakatifu…..




Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu