130.Ee Roho Uje

1. Ee Roho uje, ee Bwana,
Ujaze kipaji chako,
 Kwao uliowakusanya 
 washa moto wa upendo!
Umetuita mwangani, 
tuwe umoja pendoni, 
tulio wa ulimwenguni, 
 kwa hiyo daima twakusifu.
Haleluya! Haleluya!


2. Mtuliza moyo Mtukufu, 
   tuagize, Neno lako 
   litufundishe kumtambua 
   Mungu na kumwita 
   Baba. 
   Umetuita…..


3. Vitani tupe upozi, 
   kituo cha kutulia, 
   na tusiogope ukali 
   wa adui na wa mwili
   Umetuita…



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu