120.Ameingia mbinguni
1. Ameingia mbinguni.
Haleuya
Kristo mwenye utukufu.
Haleuya.
2. Akaa kitini kwa Mungu
Haleluya!
Mkuu wa dunia na
mbingu.
Haleuya!
3. Sasa limetimilika.
Haleluya!
Agano lote la kale.
Haleluya!
4. Mwana Daudi, Mfalme
mkuu.
Haleluya!
Sasa ni Bwana wa wote.
Haleuya!
5. Sababu hii tumsifuni.
Haleluya!
Yesu Mwokozi wetu
mkuu!
Haleluya!
Comments
Post a Comment