118.Mle Kaburini Yesu Mwokozi.
1. Mle kaburini, Yesu Mwokozi!
Alilazwa chini, Bwana
wangu!
Bwana! Amefufuka,
kifo kimeshindwa
kabisa!
Gizani mle alitoka chini,
sasa atawala huko
mbinguni!
Yu hai! Yu hai!
Bwana Yesu yu hai.
2. Aungoja huo, Yesu Mwokozi!
Mchana ujao, Bwana
wangu!
Bwana! Amefufuka,….
3. Walinda kaburi,
Yesu Mwokozi!
Bure ni muhuri, Bwana
wangu! Bwana!
Amefufuka,….
4. Kifo kimeshindwa,
Yesu mwokozi!
Pingu zimevunjwa,
Bwana Wangu!
Bwana! Amefufuka,…
Comments
Post a Comment