117.Yesu Amefufuka (Haya Shangilia)
1. K: Yesu
W:Amefufuka
K:Yesu
W:Amefufuka
ametoka kaburini
K:/: Haya,
W:Shangilia,
K:Haya
W:Shangilia, ametoka kaburini:/
2. K:Shetani
W:Ameshindwa,
K:Shetani
W: Ameshindwa hana lake
duniani.
K:/: Haya,
W:Shangilia
K:Haya
W:Shangilia,
ametoka kaburini.:/
3. K: Yesu
W: Kawatokea,
K:Yesu
W:kawatokea wanafunzi
wake wote
K:/: Haya,
W:Shangilia,
K:Haya Shangilia,
ametoka kaburini.:/
4. K:Amani
W:Iwe kwenu,
K:Amani
W:Iwe kwenu, mpokee
Roho wangu.
K:/:Haya,
W:Shangilia,
ametoka kaburini.:/
5. K:Bwana
W:Yesu kapaa, sasa yu juu
Mbinguni
K:/:Haya,
W:Shangilia,
K:Haya
W:Shangilia,
sasa yu juu mbinguni:/
6. K:Sasa
W:Kristo huketi,
K:Sasa
W:Kristo huketi kuumeni
mwake Baba
K:/:Haya,
W:Shangilia,
K:Haya
W:Shangilia,
sasa yu juu mbinguni.:/
7. K: Hivyo
W:Anatawala,
K:hivyo
W:Anatawala pamoja na
Baba yake.
K:/:Haya,
W:shangilia,
K:Haya
W:Shangilia, sasa yu juu
mbinguni.:/
8. K:Sisi
W:Tusiogope
K:Sisi
W:Tusiogope,
amemtuma Roho
wake,
K:/: Ili
W:Tuwezeshwe,
K:Ili
W:Tuwezeshwe kuwa
mashahidi wake.:/
9. K: Siku
W:Twaingojea
K:Siku
W:Twaingojea ya kurudi
kwake Yesu.
K:/:Kweli
W:Tutaona,
K:Kweli
W:Tutaona, utukufu wake
Bwana.:/
Comments
Post a Comment