109.Tumsifuni Mungu Enzini

1. Tumsifu Mungu enzini 
na Mwana wake wa 
pekee, 
aliyefanya wokovu: 
Haleluya! Haleluya!
Haleluya!


2. Siku ya tatu mapema,
 jiwe halijaondolewa, 
akafufuka mshindaji.
Haleluya! Haleluya!
Haleluya!


3. Ametoka kuzimuni, 
makosa hata shida zote, 
zimetoweka kabisa.
Haleluya! Haleluya!
Haleluya!


4. Umemwumbua Shetani, 
ukamvua mapambo yake, 
ukafungua kifungo.
Haleluya! Haleluya!
Haleluya!



 

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu