40 Tushangilie Sote

Sauti ya Kibarbaig, T.M. 13
Mtunga maneno: Mudimi Ntandu 1922

K: Tushangilie sote
W: Kila mtu.
K: Mwana wa Mungu akaja
W: Hata kwetu.
K: Tumjue Mungu Baba
W: Wa huruma.
K: Usiku wa manane
W: Shangwe kubwa
K: Alipozaliwa Kristo
W: Awe Mfalme.
K: Pale katika mji
W: Wa Daudi.
K: Kwenye kondoo hata ng'ombe
W: Bethlehemu.
K: Na akaitwa kwa Jina
W: K: Nalo Vesu Mwokozi
W: K: Mungu nasi. Hakika ni Mwokozî
W: K: Mwenye enzi Tu patı we uzîma
W: Wa milele.
K: Na kumtumikia daima
W: Siku zote.
K: Maana kwake sasa tumemwona
W: Mungu wetu.
K: Na hîvyo hata Roho
W: K: Mtakatifu Njonî kwa hiyo tumsifu
W: Bila mwisho.

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu