36 Mwema ni Bwana Mbinguni

Sauti: Enre, Enre, Ehre sei Gott in der
“hoeche. Wimbo: Luka 2:14 N.K. 34,
P.B. 11330
Mtunga sauti: F. Silcher, 1825

Mwema, mwema,
mwema ni Bwana mbinguni,
na utengemano
kwa watu wanaompendeza,
kwa watu wanaompendeza.
Mwema ni Bwana mbinguni.
Mwema ni Bwana mbinguni, nchi
itengemane,
watu wapendezwe,
wote wakampendeze Bwana.
Mwema, mwema,
mwema ni Bwana mbinguni
na utengemano
kwa watu wanaompendeza
kwa watu wanaompendeza!

Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu