35 Tazama Nawatangazia
Sauti: Siehe, siehe, ich verkuendige euch.
Wimbo: Luka 2:10-11, N.K. 33
Mtunga sauti: G. p. Weimar, + 1800
Tazama, nawatangazia,
nawatangazia,
nawatangazia,
shangwe kubwa,
shangwe kubwa,
shangwe kubwa,
shangwe kubwa. Shangwe,
shangwe kubwa inayokuja,
kwa watu wote, wa koo zote;
inayokuja, inayokuja.
Amezaliwa leo,
Bwana Mwokozi,
ndiye Kristo Yesu,
Bwana wa mjini!
mwa Daudi,
Bwana wa mjini
mwa Daudi,
wa mjini mwa Daudi!
Comments
Post a Comment