20. Njooni wachungaji Bethlehemu



 Njooni wachungaji
Bethlehemu.
Njooni kumtazama
Mtoto mzuri.
Mwana wa Mungu amezaliwa.
Baba amtuma awakomboe
Msiogope!

2. Twende Bethlehemu tukaone
tulivyoambiwa na malaika.
Tuyaonayo tutatangaza
na kutukuza kwa nyimbo
Haleluya!

3. Kweli malaika wametanganza 
Furaha kubwa kwa wachungaji.
Sasa po pote patengenezwe
na watu wote watapendezwa
Furahini!


Comments

Popular posts from this blog

17. Tuimbe na kusifu

32 Kitoto Mpenzi Lala Wee

143.Mungu ni wa Utukufu