13 Salamu Yesu Bwanangu
Sauti: Es ist gewisslich P. B. 1 115, L. B. W. 321, N. K. 11 Mtunga maneno: Paul Gerhardt, 1768-1826 Asili: Karne 1400
1. Salamu Yesu Bwanangu,
Wewe uzima wangu.
Nimekujia naleta vyote ulivyonipa:
Tangu mimi sijaumbwa,
umenitengenezea,
ukombozi wa moyo.
Ni moyo na mwili wangu,
hata na mawazo yangu,
ndiyo heshima yangu.
3. Uvuli mzito wa mauti,
ulinifunikiza:
Umenitokea jua,
waniangaza moyo.
2. Umezaliwa Bwanangu kwa ajili ya mimi; umenipenda kabisa,
umenipa wokovu.
Wewe Bwana umenipa nuru,
raha na uzima.
Nakushukuru Bwana.
Comments
Post a Comment